halfanallyahmad@yahoo.comالسلام عليكم ورحمة الله وبركاته
سيدناعلي رضيالله عنه
Yeye ni kiongozi wa wa umini علي ابن أبي طالب ابن عم رسول الله صلى الله عليه وسلمna pia ni mume wa binti yake MTUME MUHAMMAD(S.A.W)ambae ni famah(r.a.h)na sayidna alliy ni khalifa wa nne ambae amezaliwa baada ya kuzaliwa mtume kiasi cha miaka thalathini,na pindi mtume alipo teremshiwa utume ally ndie alie kuwa wa kwanza kumu amini mtume katika watoto,na hakika wali muapiza watu wa madinah baada ya kuuliwa uthman ibn afaan(r.a)na alijizuia muawiya pamoja na watu wa shaam kumuapiza ally kwa kumuwepesisha kutokana na kifo cha uthman ibn afaan,ikasimama fitnah kubwa waka gawanyika waislamu makundi mawili na vikatokea vita kati yao,nawala haku tulia muawia wala ally رضي الله عنهماmpaka akamu uwa sayidna ally mmoja wa wale wa asi katika mwezi wa ramadhani mnamo mwaka wa arbaini40 hijriya.
Myongoni mwa tabia zake ni pale alipo jitolea katika usiku ambao mtume alitaka kuelekea madina,alimlazimisha ally alale katika kitanda chake ,ili asubuhi arudishe amana za watu walizo weka kwake mtume(s.a.w)ally alilala katika kitanda cha mtume hali yakua amejitolea nafsi yake katika khatari,kwaajili ya mtume.
NGUVU YAKE NA USHUJAA WAKE
Pindi ilipo tokea tokeo la vuta vya KHAIBAR ,mtume(s.a.w)alielekea pamoja na jeshi lake kwaajili yafungua ngome zake,wakamtokea watu wa ngome hizo akawapiga sayidna ally,wakati alivyo kua akipigana nao kuna mmoja alimpiga katika ngao lake akali dondosha chini basi ally akanyanyua mlango ulio kuwa katika ngome hio akautumia kama kama ngao lake,na akawapiga makafiri kwa kuutumia mlango huo mpaka mayahudi waka kimbia wote,na akaifungua ngome,na pindi alipo uweka chini mlango huo lilikuja kundi la maswahaba kwaajili ya kuunyanyua mlango huo wa ugeuze likashindwa kutokana na uzito wake.
نزاهتهUTAKASIFU WAKE

I like ths post thanx.
ReplyDelete